Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mguu kwa mguu Gondwe Keko, barabara imerekebishwa, akutana na kero mpya (+video)

Video Archive
Fri, 12 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Hatimaye barabara ya Keko imefanyiwa marekebisho ya awali na hii ni baada ya maagizo ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke Godwin Gondwe kuwapa siku 7 Wakandarasi waliopewa tenda ya kujenga barabara ya Mwendokasi kufanya marekebisho ya awali ili barabara ipitike.

Hatimaye barabara ya Keko imefanyiwa marekebisho ya awali na hii ni baada ya maagizo ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke Godwin Gondwe kuwapa siku 7 Wakandarasi waliopewa tenda ya kujenga barabara ya Mwendokasi kufanya marekebisho ya awali ili barabara ipitike. “Haya ni matengenezo ya muda mfupi hii barabara ipo kwenye mradi wa mabasi yaendayo kasi, Wakandarasi wamefanya uzembe ila wamefanyakazi, kazi yao wakati wanatengeneza barabara hii wanatakiwa wahakikishe magari yanapita, nimeona baada ya kutengenezwa barabara naona madereva wanaenda kasi sana tutaweka matuta” DC Gondwe 

Chanzo: millardayo.com