Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mgombea ADC Queend aahidi mochwari Arusha

Screenshot 2020 10 24 At 10.08.33 660x400.png Mgombea ADC Queend aahidi mochwari Arusha

Sat, 24 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Katika kutekeleza Sera ya maboresho ya mifumo ya Afya iliyopo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya ADC, Queen Sendiga ameahidi kujenga Chumba cha Kuhifadhi maiti katika Hospitali ya Arumeru endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania.

Vilevile ameahidi kujenga soko jipya ndani ya miezi 3 ya mwanzo atakapoingia Serikalini ili wafanyabiashara wapate uhakika wa kufanya kazi.

Mgombea huyo amesema hayo leo wakati akifanya kampeni katika maeneo ya Legauga Stand, Magadini, Ngarasero na Maji ya Chai.

MAGUFULI ATOA LA MOYONI “NINGEKUWA SIMPENDI GAMBO NINGEMKATA, ASINGEGOMBEA, SIJAMFUKUZA”

Chanzo: millardayo.com