Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mganga afariki kwa sumu akiwaaminisha wateja ina kinga

Screenshot 2021 05 24 At 22.45.16 660x400.png Mganga afariki kwa sumu akiwaaminisha wateja ina kinga

Tue, 25 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Mtu mmoja ambaye amebainika kuwa ni mganga wa jadi, Robert Masumbuko, amefariki dunia mkoani Tabora wakati akijaribu kuwaaminisha wateja wake kwamba ana uwezo wa kuwapatia kinga dhidi ya sumu yoyote ambayo mtu anaweza kuinywa pasipo kudhurika.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Safia Jongo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo huku akiwaonya wananchi kuepukana na dhana potofu ambazo zinaendelea kumshamiri kwa baadhi ya wananchi. Mtu huyo mkazi wa Kigoma lakini amefariki akiwa Kaliua mkoani Tabora.

MWANAFUNZI KIDATO CHA TATU ACHOMWA KISU AKISUBIRI MIADI YA KUKUTANA NA MPENZI

Chanzo: millardayo.com