Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mfanyabiashara auawa kwa risasi Tabora

FB IMG 1657894110997 Mfanyabiashara auawa kwa risasi Tabora

Fri, 15 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mfanyabiashara mmoja mjini Tabora aliyefahamika kwa jina la Mohammed Mustafa, ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana ambao walimvizia wakati akitoka nyumbani kwake majira ya saa tatu asubuhi akielekea kwenye shughuli zake.

Mfanyabiashara mmoja mjini Tabora aliyefahamika kwa jina la Mohammed Mustafa, ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana ambao walimvizia wakati akitoka nyumbani kwake majira ya saa tatu asubuhi akielekea kwenye shughuli zake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, ACP Richard Abwao, amsema Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa kina kuhakikisha linawatia nguvuni wahusika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live