Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchengerwa kuteta na wakazi wa Jangwani

Jangwani Daraja Ujenzi Mchengerwa kuteta na wakazi wa Jangwani

Wed, 15 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

WANANCHI wa Kata ya Jangwani, Kariakoo jijini Dar es Salaam, wakijongea wakati maandalizi yakiendelea kusubiri kuwasili kwa Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ili kuzungumza na wananchi hao leo Novemba 15, 2023 jijini Dar es Salaam.

WANANCHI wa Kata ya Jangwani, Kariakoo jijini Dar es Salaam, wakijongea wakati maandalizi yakiendelea kusubiri kuwasili kwa Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ili kuzungumza na wananchi hao leo Novemba 15, 2023 jijini Dar es Salaam. Siku kadhaa nyuma, waziri huyo alitembelea eneo la Jangwani kujionea athari mbalimbali zilizotokana na mvua za El-Nino zinazoendelea nchini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live