Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mawaziri na RC watinga Jangwani... VIDEO

Jangwani Daraja Ujenzi Mawaziri na RC watinga Jangwani... VIDEO

Mon, 13 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Ujenzi, Inncont Bashungwa, Waziri wa TAMISEMI, Mohamedi Mchengerwa na RC wa Dar es salaam Albert Chalamila wamefika eneo la Jangwani Jijini Dar es salaam muda huu ili kuona hali ilivyo katika eneo hilo.

Itakumbukwa jana barabara ilifungwa kwa muda eneo la Jangwani kutokana na kutopitika kufuatia uwepo wa maji mengi barabarani baada ya mvua kubwa kunyesha, ingawa leo barabara inapitika kama kawaida.

View this post on Instagram

A post shared by millardayo (@millardayo)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live