Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maonesho ya kumuenzi Hayati Magufuli

Magufuli?fit=700%2C394&ssl=1 Hayati Rais Magufuli

Mon, 26 Jul 2021 Chanzo: eatv.tv

Katika kumuenzi aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, wilaya ya Chato inakuja na maonesho ya utalii na wafanyabiashara yatakayofanyika wilayani humo kwa muda wa siku tisa.

Katika kumuenzi aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, wilaya ya Chato inakuja na maonesho ya utalii na wafanyabiashara yatakayofanyika wilayani humo kwa muda wa siku tisa. Mkuu wa Wilaya hiyo Martha Mkupasi amesema lengo ni kuonesha utalii wa hifadhi za Burigi Chato, Kisiwa cha Rubondo na kukuza biashara na kutokana na mkoa wa Geita kupakana na nchi mbalimbali hivyo kupitia maonesho hayo kutakutanisha zaidi ya wafanyabiashara 400.

Chanzo: eatv.tv