Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maonesho ya Panya wataalam wa kutegua mabomu

Fd43lA Panya Maonesho ya Panya wataalam wa kutegua mabomu

Fri, 7 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Asasi ya APOPO's HeroRATs iliendesha maonyesho ya Panya Mashujaa, Panya wakubwa waliopata mafunzo ya kubaini nyara zitokanazo na wanyamapori katika makonteina.



Wafanyakazi wa USAID Tanzania na maafisa wa Mamlaka ya Bandari Dar es Salaam walihudhuria maonyesho hayo yaliyofanyika Morogoro.



Panya hawa wenye uwezo wa kubaini mabomu na kifua kikuu, hivi sasa wamepewa mafunzo ya kubaini miti ya mpingo iliyofichwa kwenye makonteina.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live