Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maneno aliyozungumza RAS muda mfupi kabla yakufariki kwenye ajali

LEO AJALI 660x400 Maneno aliyozungumza RAS muda mfupi kabla yakufariki kwenye ajali

Thu, 4 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

Aliyekuwa katibu tawala mkoa wa Arusha Richard Kwitega,amefariki kwenye ajali akiwa anaelekea mkoani Dodoma kwa ajili ya shughuli za kikazi lakini kabla ya hapo alihudhuria nakufungua semina iliyowakutanisha wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari kuhusu malipo ya serikali kwa kutumia mfumo wa GePG na hiki ndicho alichokizungumza

Aliyekuwa katibu tawala mkoa wa Arusha Richard Kwitega,amefariki kwenye ajali akiwa anaelekea mkoani Dodoma kwa ajili ya shughuli za kikazi lakini kabla ya hapo alihudhuria nakufungua semina iliyowakutanisha wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari kuhusu malipo ya serikali kwa kutumia mfumo wa GePG na hiki ndicho alichokizungumza RAS ARUSHA AFARIKI KWENYE AJALI, RC ASIMULIA TUKIO

Chanzo: millardayo.com