Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mamba wa ajabu kaonekana Baharini Kigamboni "kapigwa risasi hajafa"

GettyImages 123529247 2a29d6c Mamba wa ajabu kaonekana Baharini Kigamboni

Wed, 23 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Moja kati ya taarifa iliyokuwa gumzo hivi karibuni ni Mamba kuonekana baharini hasa katika fukwe ya Vijibweni iliyopo Kigamboni DSM, huku maswali yakiwa mengi ni vipi Mamba aonekane Baharini.

Moja kati ya taarifa iliyokuwa gumzo hivi karibuni ni Mamba kuonekana baharini hasa katika fukwe ya Vijibweni iliyopo Kigamboni DSM, huku maswali yakiwa mengi ni vipi Mamba aonekane Baharini. AyoTV na millardayo.com imefika hadi Vijibweni katika Mtaa wa Majengo, Kigamboni na kuzungumza na mashuhuda wa waliomuona Mamba huyo ambaye inasemekana alipigwa risasi 7 lakini hakufa na badala yake anaonekana eneo jingine.

Chanzo: millardayo.com