Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mama mwenye nyumba adaiwa kumuua dada wa kazi

Jeneza.jpeg Mama mwenye nyumba adaiwa kumuua dada wa kazi

Fri, 10 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Diana Joseph Mkazi wa Tabata Kimanga Dar es Salaama na mtu mwingine mmoja ambaye jina lake halijafahamika wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua msichana wa kazi za ndani.

Mwanamke huyo anayetuhumiwa kufanya tukio hilo usiku wa kuamkia leo inadaiwa amekuwa na mfululizo wa matukio ya ukatili kwa wasichana wake wa kazi kwa kuwapiga na kuwachoma na pasi.

Si hayo tu, inadaiwa pia amekuwa akiwafanyia ukatili huo wajukuu zake ambao wamelazimika kukimbilia kwa wazazi wao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live