Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mama asalimisha silaha polisi

FB IMG 1663951779710 Mama asalimisha silaha polisi

Sat, 24 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mama mmoja kutoka mtaa wa Misufini, Kata ya Mafiga, mkoani Morogoro aliyefahamika kwa jina la Mama Sanga amekabidhi silaha aina ya Shortgun kwa Jeshi la Polisi kupitia kwa Afisa Madhimu namba moja wa Polisi Morogoro, ACP HASSAN MAYA OMARY.

Akiongea na wananchi wa mtaa huo jana Septemba 23, 2022, ACP MAYA, amehakikishia usalama wao wale wote watakosalimisha silaha hizo kwani kipindi cha kuanzia Septemba 1, 2022 hadi Oktoba 31, 2022 ikiwa ni kipindi cha kampeni ya usalimishaji silaha haramu.

Kwa upande wake Mama Sanga alisema silaha hiyo ilikuwa ya Marehemu mume wake hivyo baada ya kufariki ameamua kuikabidhi kwa Jeshi la Polisi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live