Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Makonda kukabidhiwa ofisi leo..

Makonda 9131 Makonda kukabidhiwa ofisi leo..

Mon, 8 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa mkoa mpya wa Arusha Paul Makonda leo, Jumatatu Aprili 08.2024 anatarajiwa kukadhiwa rasmi ofisi hiyo na mtangulizi wake John Mongela ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara

Hafla ya makabidhiano hayo inatarajia kufanyika kwenye viunga vya ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha kuanzia saa 03:00 asubuhi ambapo viongozi mbalimbali kutoka taasisi za serikali na zisizokuwa za kiserikali, vyama vya siasa, wadau wa maendeleo na wananchi kwa ujumla wake wanatarajia kujitokeza kwenye viunga hivyo ili kushuhudia tukio la makabudhiano

Ikumbukwe kuwa, Paul Makonda ambaye ameteuliwa na kuapishwa kushika nafasi hiyo hivi karibuni awali alikuwa Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa,

Chanzo: www.tanzaniaweb.live