Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Majeruhi wanne ajali ya New Force wapewa rufaa Mbeya

Ajali Newforce A0145 Majeruhi wanne ajali ya New Force wapewa rufaa Mbeya

Thu, 22 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Majeruhi waliopata ajali na basi la kampuni ya New Force hapo June 21 mwaka 2023, wanaendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Ilembula huku majeruhi wanne kati ya 49 wakipelekwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya.

Majeruhi waliopata ajali na basi la kampuni ya New Force hapo June 21 mwaka 2023, wanaendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Ilembula huku majeruhi wanne kati ya 49 wakipelekwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Misheni Ilembula Dk. Baldavino Kidenya, ameeleza kuwa miili mitatu ya marehemu wa ajali kati ya saba imetambuliwa na ndugu na kusafirishwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live