Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Majambazi Wanne Wauawa Lindi

Lindi 2?fit=700%2C394&ssl=1 Majambazi Wanne Wauawa Lindi

Sat, 7 Aug 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

JESHI la Polisi mkoani Lindi, limefanikiwa kuwaua watu wanne kati ya sita wanaosadikika kuwa ni majambazi, kufuatia majibizano ya risasi katika eneo la Nanganga station wakielekea wilaya ya Ruangwa baada ya kufanya matukio ya ujambazi katika wilaya za Liwale na Nachingwea.

Chanzo: globalpublishers.co.tz