Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maiti yakutwa nje ya Duka Kariakoo (+Video)

Dar Es Salaam Market Maiti yakutwa nje ya Duka Kariakoo

Fri, 19 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katika Hali isiyo ya kawaida mtu mmoja ambaye jina lake halijafahamika amekutwa amefariki Dunia nje ya Duka moja lililopo mtaa wa uhuru Kariakoo Jijini Dar es salaam.

Timu ya Wanahabari imefika katika eneo hilo na kuzungumza na Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo ambapo wamesema wao hawamfahamu lakini wanahisi ni Mtu ambaye alikua anajihusisha na kazi ya ukusanyaji wa Makopo.

Jitihada za kuzungumza na Jeshi la Polisi baada ya kufika katika eneo hilo ziligonga mwamba baada ya Jeshi hilo kukataa kuzungumzia tukio hilo.

Tazama Video hapa Chini;

View this post on Instagram

A post shared by Manara TV (@manaratv__)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live