Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maharage yaua wanafamilia watatu

MAHARAGE WEB Maharage yaua wanafamilia watatu

Tue, 5 Oct 2021 Chanzo: eatv.tv

Mama na watoto wake wawili wakazi wa Kitongoji cha Nyambale, Kata ya Busanda mkoani Geita, wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya kudaiwa kuvuta hewa ya ukaa iliyotokana na jiko la mkaa lililokuwa linapasha mboga ya maharage huku madirisha na milango vikiwa vimefungwa.

Mama na watoto wake wawili wakazi wa Kitongoji cha Nyambale, Kata ya Busanda mkoani Geita, wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya kudaiwa kuvuta hewa ya ukaa iliyotokana na jiko la mkaa lililokuwa linapasha mboga ya maharage huku madirisha na milango vikiwa vimefungwa. Mkuu wa wilaya ya Geita Wilson Shimo, amesikitishwa na tukio hilo huku akiwaomba wananchi kutotumia majiko kwenye nyumba za kulala ili kuepusha matukio hayo kujirudia.

Chanzo: eatv.tv