Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Magumu anayopitia kijana Mathias miaka mitatu kitandani (+video)

Video Archive
Wed, 14 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Mathias Ernest mwenye miaka 32 alipata ajali akiwa njiani kwenda Burundi akifanya kazi ya udereva wa magari makubwa kusafirisha ngano kutoka Tanzania kwenda Burundi taarifa za awali zilisema amepoteza maisha ndugu wakaweka msiba nyumbani kwao, baadae zilitoka taarifa kuwa ni mzima japo hali yake sio nzuri, alipatiwa matibabu Hospitali ya Bugando Mwanza kwa muda wa miezi miwili na baadae kuruhusiwa.

Mathias Ernest mwenye miaka 32 alipata ajali akiwa njiani kwenda Burundi akifanya kazi ya udereva wa magari makubwa kusafirisha ngano kutoka Tanzania kwenda Burundi taarifa za awali zilisema amepoteza maisha ndugu wakaweka msiba nyumbani kwao, baadae zilitoka taarifa kuwa ni mzima japo hali yake sio nzuri, alipatiwa matibabu Hospitali ya Bugando Mwanza kwa muda wa miezi miwili na baadae kuruhusiwa. kwa sasa Mathias hawezi kusimama wala kutembea ameuza nyumba yake ili aende India kwa matibabu zaidi lakini pesa haijatosha.

Chanzo: millardayo.com