Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Magereza Mbeya yakiri kudaiwa Sh191 milioni za maji

81559 Deni+pic Magereza Mbeya yakiri kudaiwa Sh191 milioni za maji

Thu, 24 Oct 2019 Chanzo: mwananchi.co.tz

Mbeya. Jeshi la Magereza mkoani Mbeya limekiri kudaiwa Sh191.9 milioni za maji ikiwa ni ankara ya mwaka 2012 hadi 2015.

Akizungumza na Mwananchi mkuu wa Magereza mkoani Mbeya, Mathias Mkoma amesema mwaka 2012/13 walikuwa na deni la Sh68.5 milioni, mwaka 2013/14 lilikuwa Sh123.4 milioni, kubainisha kuwa zitalipwa wakati wowote.

Oktoba 23, 2019 mkurugenzi mtendaji wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mkoa wa Mbeya, Ndele Mengo alitoa taarifa za wadaiwa sugu wa taasisi za Serikali likiwemo jeshi hilo.

 

 

Chanzo: mwananchi.co.tz