Ripoti kutoka Mwanza ni hii ya mafuriko baada ya mvua kunyesha kwa muda mrefu na kusababisha vitu mbalimbali kubebwa na maji na hapa ni daraja maarufu la Wamasai pia ni barabara inayounganisha Mtaa wa Uhuru Mwanza, naambiwa barabara hiyo kwa sasa haipitiki.
Ripoti kutoka Mwanza ni hii ya mafuriko baada ya mvua kunyesha kwa muda mrefu na kusababisha vitu mbalimbali kubebwa na maji na hapa ni daraja maarufu la Wamasai pia ni barabara inayounganisha Mtaa wa Uhuru Mwanza, naambiwa barabara hiyo kwa sasa haipitiki. HATARI YA NABII AINGIA KWENYE KUNDI LA SIMBA AKIDHANI HATOLIWA KAMA DANIEL, ALIBAKI MIFUPA