Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mafuiko Chato, RC afika kutoa pole

Mks Mafuriko Mafuiko Chato RC afika kutoa pole

Thu, 30 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella amewapa pole wakazi wa maeneo tofauti tofauti Wilayani Chato, Mkoani Geita wakiwemo wa wakazi kitongoji Cha kasenda kata ya Mgaza Kwa kuharibikiwa na mazao yao, nyumba zao pamoja na watu wa wiwili kufariki kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Mkoa wa Geita na kuwaomba kuendelea kuchukua tahadhari katika kipindi hiki cha mvua

RC Shigella amesema hayo wakati alipotembea familia kadhaa ambazo zimepata madhara katika maeneo tofauti Wilaya ya Chato.

Awali akitoa taarifa juu ya maafa yalitokea katika vijiji zaidi ya tisa vilivyopo kata ya mganza na katente mwenyekiti wa hamshauri batholomeo manunga Amesema zaidi ya kaya 120 ziharibika Kwa mvua na kusababisha wananchi wa vijiji hivyo kukosa makazi

Nao baadhi waoathirika wa mvua katika Kijiji Cha Mganza akiwemo Salehe Mohamedi Wameendelea kuiomba serikali kuendelea kuboresha miundombinu haswa barabara na mitaro Ili athari za mvua ziwe kubwa zaidi

Chanzo: www.tanzaniaweb.live