Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mabaki ya mwanafunzi aliyeliwa na mamba yapatikana

79960 Pic+mamba

Tue, 15 Oct 2019 Chanzo: mwananchi.co.tz

Buchosa.  Mabaki ya mwili wa Magesa Biseko (12), aliyeliwa na mamba Oktoba 11, 2019 yamepatikana katika Ziwa Victoria.

Biseko, aliyekuwa akisoma darasa la sita shule ya Msingi  Itabagumba aliliwa na mamba katika kijiji cha Bulyaheke B kata ya Bulyaheke wilayani Sengerema.

Akizungumza leo Jumatatu Oktoba 14, 2019 ofisa mtendaji wa kijiji hicho, Berenadetha Sandu amesema jitihada ya kupata mabaki ya mwanafunzi huyo zimefanywa na wavuvi na kuzikwa kijijini hapo.

Chanzo: mwananchi.co.tz