Sat, 2 Oct 2021
Chanzo: eatv.tv
Watafiti kutoka Makumbusho ya Taifa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, pamoja na wa nchini Ujerumani, wamegundua masalia mapya ya Mijusi mikubwa aina ya Dinosaria walioishi miaka milioni 150 liyopita huko Lindi maeneo ya Tendaguru.
Submitted by Agnes Kibona on Jumamosi , 2nd Oct , 2021 Kushoto ni Dkt Agnes Gidna, Mhifadhi na Mtafiti Mwandamizi wa Akiolojia Makumbusho ya Taifa, akitoa maelezo kuhu mfupa wa Dinosaria
Mhifadhi na Mtafiti Mwandamizi wa Akiolojia Makumbusho ya Taifa Dkt. Agnes Gidna, amesema kuwa mabaki ya mijusi hayo yako mengi na kueleza manufaa yatakayopatikana.
Chanzo: eatv.tv