Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MWILI WA HAYATI MAGUFULI KUPELEKWA CHATO KWA GARI KUTOKEA MWANZA

MWALI WA JPM.png?fit=762%2C446 MWILI WA HAYATI MAGUFULI KUPELEKWA CHATO KWA GARI KUTOKEA MWANZA

Wed, 24 Mar 2021 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania M.h Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mazishi ya Kitaifa amesema kuwa mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli utapelekwa Chato mkoani Geita kwa gari ili kutoa fursa kwa watu wote waliopo njiani kuaga. Mwili huo utasimama nyumba kwa Mjane (Janeth Magufuli) kwa dakika 10, kisha utaendelea na safari.

Chanzo: zanzibar24.co.tz