Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#MOTOKARUME: Hasara Tsh. bilioni 7.2

Fedhapic moto soko la Karume wasabiha hasara ya bilioni 7.2/-

Tue, 25 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwenyekiti wa Kamati ya uchunguzi wa kuungua moto kwa Soko la Karume, Eng. Justin Lukaza amesema hasara iliyotokana na kuungua kwa soko hilo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 7.2 ambapo idadi ya Wafanyabiashara waliokumbwa na janga hilo ni 3,090.

Lukaza ametoa kauli hiyo leo Dar es salaam baada ya Kamati hiyo kukamilisha siku saba za uchunguzi ambao umebaini pia kuwa chanzo cha moto huo ni mshumaa uliokuwa unatumiwa na Mateja sokoni hapo.

Hata hivyo imeripotiwa kuwa zaidi ya asilimia 85 ya soko hilo iliteketea kwa moto huo na kuacha sehemu kubwa ikiwa ni majivu matupu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live