Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lori laparamia magari, pikipiki laua mmoja

Xc Pikipiki J Lori laparamia magari, pikipiki laua mmoja

Tue, 30 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtu mmoja amefariki dunia mkoani Kagera, huku watu wengine wakijeruhiwa, baada ya lori lililokuwa limebeba mbao kuharibika mfumo wa breki, na kuanza kuserereka katika eneo la Izimbya na kisha kuyaburuza magari mengine mawili yaliyokuwa na abiria, na bodaboda 12 zilizokuwa eneo hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live