Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lema: Vijana mnaoendesha bodaboda, baada ya miaka 20 mtaufa

Lema Arusha Bn Lema

Wed, 15 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini (#CHADEMA), Godbless Lema amesema, "Ukiona Dereva Bodaboda wameongezeka ujue ni umasikini umeongezeka. Hakuna kazi ya mateso, ufukara na umasikini kama ya Bodaboda."

Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini (#CHADEMA), Godbless Lema amesema, "Ukiona Dereva Bodaboda wameongezeka ujue ni umasikini umeongezeka. Hakuna kazi ya mateso, ufukara na umasikini kama ya Bodaboda." Akizungumza katika eneo la Dampo Jijini #Mwanza kwenye mkutano wa hadhara ameongeza, "Vijana mnaoendesha bodaboda hivi sasa, miaka 20 ijayo wote mtakuwa mmekufa. Mtaumwa Vifua, Viuno, Migongo na wengine mtakuwa Vipofu kutokana na upepo."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live