Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kutana na mrembo anaekula na kufuga mende (+Video)

Video Archive
Wed, 15 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waswahili wana msemo wao unasema "Kuishi kwingi, kuona mengi". Unaweza ukadhani umemaliza kuona kila kitu katika ulimwengu huu pengine labda kwa sababu umetembea sana katika maeneo na nchi mbali mbali, umekutana na watu wa jamii na mataifa mbali mbali kumbe bado hujamaliza.

Binti Swaumu Hamis ni mjasiriamali ambae anafuga Mende lakini pia anawatumia mende hao hao kama kitoweo katika milo yake ya kila siku.

Msikilize zaidi katika mahojiano yake aliyofanya na kituo cha televisheni cha Eat Africa;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live