Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kunenge awataka wakazi Da es salaam kujitokeza kupata msaada wa kisheria

5cd4bb12e71947ffa57755637fd3dc5f Kunenge awataka wakazi Da es salaam kujitokeza kupata msaada wa kisheria

Mon, 25 Jan 2021 Chanzo: habarileo.co.tz

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge amewataka wakazi wa jiji hilo kufika kwa wingi katika viwanja vya Mnazi Mmoja ili kupata ushauri na msaada wa mambo ya kisheria bila malipo.

RC Kunenge ameyasema hayo leo wakati akifungua maadhimisho ya wiki ya sheria katika Kanda ya Dar es Salaam yaliyoenda sambamba na maadhimisho ya Mahakama Kuu ya Tanzania kutimiza Miaka 100.

“Natoa wito kwa wakazi wa Dar es Salaaam kujitokeza kwa wingi wakiwemo watendaji wa serikali na waajiri wote ili wapate suluhisho la matatizo mbalimbali ya kisheria ambayo uwa wanakutana nayo” amesema Kunenge.

Chanzo: habarileo.co.tz