Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kunenge, Mkapa kuagwa saa 12 Asubuhi

De3998400a0c24d10bcb33e10a3d8951 Kunenge, Mkapa kuagwa saa 12 Asubuhi

Sat, 25 Jul 2020 Chanzo: habarileo.co.tz

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge, amewataka wakazi wa Dar es Salaam, watakaopenda kuaga mwili wa Rais mstaafu Benjamin Mkapa, kufika uwanja wa Uhuru saa 12 asubuhi kesho.

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge, amewataka wakazi wa Dar es Salaam, watakaopenda kuaga mwili wa Rais mstaafu Benjamin Mkapa, kufika uwanja wa Uhuru saa 12 asubuhi kesho. Kunenge aliyasema hayo muda mfupi wakati viongozi mbali mbali wakiongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi, John Kijazi walipofika Uwanja wa Uhuru kukagua mandalizi yanayoendelea, ambapo mwili wa Mkapa utapelekwa ukitokea hospitali na wananchi watapata fursa ya kuaga kwa siku tatu mfululizo.

Chanzo: habarileo.co.tz