Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kondakta afunguka kisa cha Basi kuchomwa moto

Konda Sai Baba Kondakta wa Basi la Kampuni ya Sai Baba, Greyson Mdee

Wed, 28 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kondakta wa Basi la Kampuni ya Sai Baba linalofanya safari kutoka Mkoani Dar Es Salaam kuelekea Mkoani Arusha, Greyson Mdee amesema walipofika eneo la Msambiazi Dereva wa Bodaboda alikuwa aki"Overtake" Lori na kupekea kugongana uso kwa uso na basi hilo

Amesema baada ya kugonga uso kwa uso Pikipiki ikawa imeingia chini ya gari, ambapo Mara baada ya ajali hiyo Dereva wa Basi hilo alifika katika kituo cha Polisi Korogwe kwa ajili ya kutoa Taarifa

Amesema wakati wanasubiri Jeshi la Polisi kuwasili maeneo hayo Bodaboda walivamia basi hilo na kumwaga mafuta ya Petrol ndani na kuchoma gari.

Tazama Video hapa Chini;

View this post on Instagram

A post shared by Wasafi FM (@wasafifm)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live