Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kivuko cha MV. Ukara chaanza kutoa huduma, siku mbili bure (+video)

Video Archive
Tue, 20 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Kivuko cha MV. Ukara II kimepokelewa na wananchi wa Ukara tayari kwa kuanza kutoa huduma kati ya Kisiwa cha Bugolola na Kijiji cha Bwisya Ukara Ukerewe na kitakuwa mbadala wa kile kivuko cha MV. Nyerere kilichozama September 20, 2018 na kuuawa watu 22.

Chanzo: millardayo.com