Wed, 22 May 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainabu Telacky amesitisha shughuli za kuvusha wananchi, mizigo na magari kwa kutumia kivuko cha MV. Kitunda hadi kitakaporekebishwa, huku akizitaka mamlaka husika kutafuta mbadala wa kivuko hicho ili wananchi waweze kuendelea na shughuli zao kama kawaida.
Tazama Video hapa Chini;
Chanzo: www.tanzaniaweb.live