Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kikwete awasili Ruvuma, kuzindua msikiti kesho

Kikwete Awasili Ruvuma, Kuzindua Msikiti Kesho Kikwete awasili Ruvuma, kuzindua msikiti kesho

Fri, 23 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt Jakaya Kikwete amewasili mkoani Ruvuma kwa ajili ya kushiriki ufunguzi wa msikiti mpya wa Taqwa Uliopo kijiji cha Mtakanini Wilayani Namtumbo, ufunguzi wa msikiti huo unatarajia kufanyika Juni 24,2023.

Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt Jakaya Kikwete amewasili mkoani Ruvuma kwa ajili ya kushiriki ufunguzi wa msikiti mpya wa Taqwa Uliopo kijiji cha Mtakanini Wilayani Namtumbo, ufunguzi wa msikiti huo unatarajia kufanyika Juni 24,2023. Rais Mstaafu kikwete amepokewa katika uwanja wa ndege wa Songea na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas Pichani kushoto

Chanzo: www.tanzaniaweb.live