Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Maiti Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Thu, 16 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Amani Abed (31) amekutwa amejinyonga kwenye mti wa muembe nje kidogo ya nyumba ya Babu yake iliyopo mtaa wa Isenga kata ya Kiseke mkoani Mwanza, ikiwa ni muda mfupi yu baada ya kutoka hospitali alikokuwa akipatiwa matibabu.

Kwa mujibu wa Babu wa kijana huyo anayefahamika kwa jina Benson Masuni, amesema mjukuu wake alilazwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando na kesho yake baada ya kutoka alifika nyumbani na kujitundika kwenye mti wa muembe muda ambao hakukuwa na mtu nyumbani hapo.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amethibitisha tukio hilo ambalo chanzo chake kinatajwa huenda ni msongo wa mawazo uliotokana na kuugua muda mrefu. 

Chanzo: www.tanzaniaweb.live