Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kijana adai kupigwa nakuumizwa na askari baada yakufungiwa kwenye gari,DC aagiza atibiwe

POLISSSI 660x400 Kijana adai kupigwa nakuumizwa na askari baada yakufungiwa kwenye gari,DC aagiza atibiwe

Wed, 30 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Kijana anayefahamika kwa jina la Hamza Rashid mpiga debe katika stand kuu ya mabasi mkoani Arusha amelalamika mbele ya mkuu wa wilaya ya Arusha Kenan Kihongosi  baada yakufungiwa kwenye gari ndogo nakupigwa kwenye mkono na kichwani kwa madai yakumtukana askari huyo

Mkuu wa wilaya  kenan Kihongosi baada yakusikiliza malalmiko hayo alimuagiza mkuu wa polisi wilaya kulifanyia kaz ikiwemo kuhakikisha kijana huyo anatibiwa ambapo polisi walikiri suala hilo kufika ofisini kwake

MWALIMU AKATWA MKONO NA MME WAKE ARUSHA KISA WIVU WAMAPENZI “ANAKAA DUBAI,ANA WIVU”

Chanzo: millardayo.com