Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kauli ya Makonda Baada ya Kumuaga JPM

MAKONDA 1.jpeg?fit=1080%2C565&ssl=1 Kauli ya Makonda Baada ya Kumuaga JPM

Thu, 25 Mar 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Kauli ya Makonda Baada ya Kumuaga JPM March 25, 2021 by Global Publishers



ALIYEKUWA kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameonyesha kuumizwa zaidi na msiba wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, kupitia ukurasa wake wa instagram ambapo amesema kuwa bado anaamini amelala na hajafariki.



“Pamoja na kukuona jana bado moyo wangu unaamini umelala hujafa. Rafiki, kaka na Kiongozi wangu utakapo amka usingizi kuna jambo nitakwambia,” ameandika Makonda.
Chanzo: globalpublishers.co.tz