Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Katibu Tawala Arusha afariki kwa ajali

Kifopic Data 660x400 Katibu Tawala Arusha afariki kwa ajali

Thu, 4 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

Katibu tawala Mkoa wa Arusha, Richard Kwitega amefariki katika ajali ya gari leo Jumatano Februari 3, 2021 wakati akitoka mkoani humo kwenda Dodoma baada ya gari alilokuwa amepanda kugongana na basi.

                                                                      Katibu tawala Mkoa wa Arusha, Richard Kwitega

Akizungumza na Waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joseph Mkirikiti amesema ajali hiyo imetokea eneo la Mdori Mizani.

                                                                               Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joseph Mkirikiti

Amesema katika ajali hiyo watu wengine wanne wamejeruhiwa ambao ni dereva wa katibu tawala huyo na wanawake watatu waliokuwa kwenye basi.

“Ni ajali mbaya kumpoteza katibu tawala na muda huu tunajiandaa kurejesha mwili Arusha bado tupo kituo cha afya hapa Magugu,” RC Arusha

Chanzo: millardayo.com