Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kamanda azunguka vituo vya bodaboda na stendi (+video)

Screenshot 2020 11 03 At 16.58.26 660x400.png Kamanda azunguka vituo vya bodaboda na stendi (+video)

Tue, 3 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

November 3, 2020 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Kamishna Msaidizi wa Polisi Emanuel Lukula amesema yoyote aliyepanga kuingia Mkoa wa Kilimanjaro kwa lengo la kuratibu maandamano asitarajie kutoka salama.

November 3, 2020 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Kamishna Msaidizi wa Polisi Emanuel Lukula amesema yoyote aliyepanga kuingia Mkoa wa Kilimanjaro kwa lengo la kuratibu maandamano asitarajie kutoka salama. Aidha Lukula amewapongeza wakazi wa Mkoa wa Kilimanjaro kwa kutoitikia wito wa kufanya maandamano huku akiwataka kujikita katika uzalishaji bila ya kuwa na hofu yoyote.

Chanzo: millardayo.com