Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kamanda ataka wazazi kuwafatilia watoto

Kamanda Ataka Wazazi Kuwafatilia Watoto Kamanda ataka wazazi kuwafatilia watoto

Fri, 23 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kamanda msaidizi wa Jeshi la Polisi kutoka Mkoa wa Simiyu Canatus ameendelea kutoa elimu kwa wazazi katika kata ya Dutwa iliyoko mkoani wilayani Bariadi mkoani Simiyu, ambapo katika zoezi hilo kamanda huyo ameendelea kuwasihi wazazi kuwafuatilia Watoto wao na kufahamu changamoto zao ili kuepuka vitendo vya ukatili ikiwemo ulawiti na ubakaji.

Kamanda msaidizi wa Jeshi la Polisi kutoka Mkoa wa Simiyu Canatus ameendelea kutoa elimu kwa wazazi katika kata ya Dutwa iliyoko mkoani wilayani Bariadi mkoani Simiyu, ambapo katika zoezi hilo kamanda huyo ameendelea kuwasihi wazazi kuwafuatilia Watoto wao na kufahamu changamoto zao ili kuepuka vitendo vya ukatili ikiwemo ulawiti na ubakaji. Kamanda huyo msaidizi wa Jeshi la Polisi mkoani Simiyu amesema kwamba “Ni vyema kujenga urafiki na Watoto wenu ili wawe huru kuwaeleza changamoto zao ikiwemo matukio ya ukatili hasa ulawiti na ubakaji”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live