Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kamanda aelezea The Cask Bar kuteketea Mwanza "Uchunguzi wa kina"

Video Archive
Mon, 25 Oct 2021 Chanzo: millardayo.com

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza ACP Ramadhan Ngh’anzi amezungumza na Vyombo vya Habari katika tukio la kuungua moto kwa Bar maarufu mkoani humo ya The Cask inayomilikiwa na Mfanyabiashara Joel Makanyaga katika eneo la furahisha Rock City Mall.

Chanzo: millardayo.com