Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jionee Mafuriko yalivyoingia kwenye Saloon DSM, vitu vyaharibika

Gggiiiii 660x400 Jionee Mafuriko yalivyoingia kwenye Saloon DSM, vitu vyaharibika

Tue, 13 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Ikiwa October 13, 2020 Baada ya mvua kunyesha kuanzia Alfajiri mpaka mchana wa leo sasa Ayo TV & Millardayo.com imefika kwenye baadhi ya maeneo kukusogea ujionee yaliyojiri na hapa ni Survey Dar es Salaam ambapo Mvua iliyonyesha imesababisha shughuli za Saloon kusimamishwa kutokana na maji kuingia ndani .

Ikiwa October 13, 2020 Baada ya mvua kunyesha kuanzia Alfajiri mpaka mchana wa leo sasa Ayo TV & Millardayo.com imefika kwenye baadhi ya maeneo kukusogea ujionee yaliyojiri na hapa ni Survey Dar es Salaam ambapo Mvua iliyonyesha imesababisha shughuli za Saloon kusimamishwa kutokana na maji kuingia ndani . TAZAMA MVUA ZA DAR LEO MAJI YAFURIKA JUU YA BARABARA HIZI, FOLENI YAONGEZEKA

Chanzo: millardayo.com