Fri, 29 Apr 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mahakama ya Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara imewahukumu Mzumbe Maguliati kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumuoa mtoto mwenye umri wa miaka 13, huku Mremi Masunga akihukumiwa kifungo cha miaka 15 Jela kwa kumuoza mtoto wake kwa ng’ombe watano.
Tazama Video hapa chini kujua undani wa Habari hii;
Chanzo: www.tanzaniaweb.live