Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jela miaka 30 kwa kubaka mtoto wake wa miaka 10

Pingu 4 Jela miaka 30 kwa kubaka mtoto wake wa miaka 10

Thu, 30 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Tizo Mwita (38) kwa jina maarufu Fadhili Mtete mkazi wa mtaa wa Songambele kata ya Rwamlimi Manspaa ya Musoma Mkoani Mara amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 10 ambae ni mtoto wa mke wake .

Mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Tizo Mwita (38) kwa jina maarufu Fadhili Mtete mkazi wa mtaa wa Songambele kata ya Rwamlimi Manspaa ya Musoma Mkoani Mara amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 10 ambae ni mtoto wa mke wake . Akisoma hati ya mashitaka mwendesha mashitaka wa Serikali Beatrice Mgumba mbele ya Hakimu wa mahakama ya Wilaya ya Musoma Aristida Tarimo amesema Mshitakiwa huyo mwenye kesi No. 21 ya mwaka 2023 kesi ya jinai, alitenda kosa hilo tarehe 2 ya mwezi wa tatu majira ya usiku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live