Mahakama ya wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha na kulipa fidia ya Shilingi milioni tano (5,000,000/-), Method Muhimba (33) baada ya kumkuta na hatia ya kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 10 aliyekuwa akisoma darasa la tano.
Mahakama ya wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha na kulipa fidia ya Shilingi milioni tano (5,000,000/-), Method Muhimba (33) baada ya kumkuta na hatia ya kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 10 aliyekuwa akisoma darasa la tano. Hakimu mkazi mkuu wa mahakama hiyo, Said Ally Mkasiwa amesema huku hiyo imetokana na upande wa Jamhuri kuthibitisha pasipo shaka tuhuma dhidi ya mshtakiwa huyo.