Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jangili Sugu akamatwa na Nyama ya Pundamilia (+Video)

Pingu 4 Jangili Sugu akamatwa na Nyama ya Pundamilia

Thu, 13 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa wilaya ya Monduli Joshua Nassary kwa kushirikiana na Vyombo vya ulinzi na usalama Pamoja na Maafisa wanyamapori wamemkamata Jangili wa wanyamapori ambaye inadaiwa amekuwa akishirikiana na watu wengine kufanya shughuli hiyo

Mtuhumiwa huyo wa ujangili amefahamika kwa jina la Gida Ally Jumanne ambapo amekamatwa akiwa na nyama ya Pundamilia huku akieleza kuwa yeye sio mwindaji haramu wa Wanyamapori bali hutumika kusafirishi nyama kwa kutumia pikipiki.

Kulingana na Afisa wanyamapori wa wilaya ya Monduli Isaack Urasa amesema mtuhumiwa huyo ana kesi nyingine mahakamani ya ujangili ambayo alifunguliwa mwaka huu kisha kupewa dhamana lakini bado hajakoma tabia hiyo.

Tazama Video Hapa Chini;

View this post on Instagram

A post shared by Wasafi FM (@wasafifm)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live