Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

JWTZ feki anaswa na bastola bandia, mbaroni kwa kumfyatulia risasi mwanaye

Kamanda Tabora 1 JWTZ feki anaswa na bastola bandia, mbaroni kwa kumfyatulia risasi mwanaye

Fri, 24 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jeshi la Polisi mkoani Tabora limemkamata kijana mwenye umri wa miaka 25 anayetuhumiwa kujifanya askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wilayani Nzega, ambaye amekutwa na bastola bandia anayodaiwa kuitumia kwa kutisha watu na kujipatia kipato.

Wakati huo huo, jeshi hilo limemkamata mwanaume mwenye umri wa miaka 56 kwa tuhuma za kumfyatulia risasi mtoto wake kwa lengo la kutaka kumuua.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, ACP Richard amesema mzee huyo alifyatua risasi kutokana na mtafaruku uliojitokeza ndani ya familia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live