Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Idadi ya waliofariki kwa kula chakula chenye sumu wafikia Sita

Vifo Chakula Sumu Kagera Idadi ya waliofariki kwa kula chakula chenye sumu wafikia Sita

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Idadi ya watu wa familia ya Lazaro Sanabanka mkazi wa kijiji cha Nyakanazi waliofariki dunia baada ya kula chakula kinachodhaniwa kuwa na sumu jioni ya November 13 mwaka huu imeongezeka kutoka watu 5 na kufika 6.

Idadi ya watu wa familia ya Lazaro Sanabanka mkazi wa kijiji cha Nyakanazi waliofariki dunia baada ya kula chakula kinachodhaniwa kuwa na sumu jioni ya November 13 mwaka huu imeongezeka kutoka watu 5 na kufika 6. Aliyefariki dunia hii leo ni mtoto mdogo ambaye alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospital Teule ya Biharamulo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live