Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato yapokea Sh bilioni 18

Chato Hospital Yt Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato yapokea Sh bilioni 18

Sat, 15 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato imepokea bilioni 18 kwa ajili ya vifaa tiba vya kisasa kama CT – scan, MRI, Thioroscope na ECHO kwa ajili ya uboreshaji huduma za afya kanda ya Ziwa.

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato imepokea bilioni 18 kwa ajili ya vifaa tiba vya kisasa kama CT – scan, MRI, Thioroscope na ECHO kwa ajili ya uboreshaji huduma za afya kanda ya Ziwa. Waziri Ummy amebainisha kauli hiyo jana wilayani Chato mkoani Geita wakati akikagua maandalizi ya kuweza kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassani anayetarajia kutembelea Hospitali hiyo siku ya Jumamosi Tarehe 15 Oktoba, Mwaka huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live