Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hii ndio awamu ya pili ya ujenzi wa mwendokasi Dar es salaam

Mwendokasi Pc Data Awamu ya pili ya ujenzi wa mwendokasi Dar es salaam

Sun, 5 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ujenzi wa barabara za mwendokasi jijini DSM unaendelea na tayari mpango mzima wa ujenzi huo umetaja maeneo yatakayopitiwa.

Urefu: 20.3km

Daraja la juu la waenda kwa miguu: 1

Vituo vya mabasi: 27

Karakana: 1

Vituo vikuu: 2 (Kariakoo & Mbagala)

Vituo vya mlisho: 5

Madaraja ya juu: 3 (Chang'ombe, Uhasibu & BP-Bandari)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live